Paroco
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 2,575
- 10,920
Haji anaumwa
Ana Ugonjwa wa msononeko. Wengi wao hufikiria Tiba yake ni kuikejeli hali aliyokua nayo kabla baada ya kuondokana nayo.
Mwisho wa siku hujikuta wamezidi kuwa wapweke zaidi na kuinukia matatzo ya akili.
Ameshapoteza nguvu ya kusikilizwa. Anadhani kuwasema vibaya SSc atacreate attention kumbe watu wameshamdharau.
Kuna shida kubwa ipo mbele yake.
Sijawah na sitaandika tena kumhusu😂😂😂😂😂😂😂



SYB