Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Ni feki? Mbona nzuri tu na hazina matatizo yo yote? Na kuna na video kabisa?Hizi picha serikali imezikataa kupitia wizara ya maliasili na utalii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasukuma tumemuenzi mama kivyetu vyetu alipowasili hapa Mwanza. Yeye anakuwa ndiye mtemi wa kwanza wa kike Usukumani.
Hangaya - nyota ing'aayo sana!
Congratulations Madame President [emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 1929569
Taarifa hii hapa Mkuu!!!Ni feki? Mbona nzuri tu na hazina matatizo yo yote? Na kuna na video kabisa?
Dah haya maisha ningeyapata ninge enjoy sanaNow this is legendary [emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 1929660
Shida ni huyo aloshikwa hilo jicho sijalielewa.
Duuuu.Fursa hio kwa JWTZ,tunaomba wasituangushe[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwendreeeeeeni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtumishi sikuwahi kujua kama jijini Mbeya kuna fly over[emoji23][emoji23][emoji48][emoji48]
Mitandaoni humu ni kizungumkuti kwa kweli!Taarifa hii hapa Mkuu!!!View attachment 1929679