Vituko mitandaoni. Tupia chako

Tatizo tozo mnama
 
Labda kina vifaa ghali vya kiintelijensia humo ndani, choo kilichonakshiwa dhababu, kioo kisichovunjika, sounds system kali...

Jamaa wanapiga waziwazi kwa sababu wanajua kuwa hakuna kitu watafanywa. Ndo hawa hawa utawakuta mitandaoni wakihimiza vijana wajiajiri wasitegemee serikali (Kigwangalla style). Inakera!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…