Wana categories, sasa inategemea yupi yuko shift(my thoughts)
-kuna wanaokuwa na moods au frustrations zao majumbani kwao.
-kuna washua understanding
-kuna wanaofuata rules and regulations kwa asilimia mia.
-kuna wale hata ukienda overboard wanakuelewa na wanakuacha uendelee bora usiwe extreme sana.
-
-
The list is endless(again, my thoughts)
Ikitokea kiongozi mbio za mwenge amegoma kuzindua kwa sababu ama kuna upigaji au jengo limejengwa chini ya kiwango kinafuata nini?
TAKUKURU wanafanya uchunguzi au ndiyo basi imetoka?
Ikitokea kiongozi mbio za mwenge amegoma kuzindua kwa sababu ama kuna upigaji au jengo limejengwa chini ya kiwango kinafuata nini?
TAKUKURU wanafanya uchunguzi au ndiyo basi imetoka?