Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

🥱🥱🥱🥱
young-couple-sleeping-together-on-260nw-571227418.jpg
 
Nenda JF doctors ukakutane navyo kuna mmoja alisema ako na inchi 4. Nyiee eti akichovya ni kama kadumbukiza kwa ndoo anavyofeel.

Ni tatizo lake sio la she wake. BTW bamia ni tamu haswaaa zikiwa kwenye dagaa
Mambo yenu vijana hayo. At 76 mimi nishamaliza ngwe yangu...na enzi zetu mabikra walikuwa wengi hivyo hata kama mtu ulikuwa na kibamia (ilikuwa nadra) ulipeta tu kwa mpenzi wako kwa sababu bikra hana kilinganishio. Nyakati zimebadilika!
 
Notice board yangu iko blank siwezi kufanya chochoteView attachment 1925864

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
Kama unatumia App nenda kwenye settings za simu yako halafu fungua apps then app ya Jamii Forums. Fungua storage halafu clear data. Close apps.. Rudi sasa ufungue JF yenyewe na itakulazimu ulogin upya. Sasa panel yako itakuwa populated. Nenda kwenye settings na moja kwa moja kwenye signature. Just turn it off na utakuwa umemaliza kazi.

Usisahau kuleta mrejesho!

NB: Jenga tabia ya kuwa unasafisha cache za apps unazozitumia sana. Makorokocho yakirundikana huko unakuta app inakuwa nzito sana na hata ku-misbehave.

Utaratibu wa kusafisha cache ni ule ule kama wa data. Ukifika kwenye storage unachagua cache badala ya data. Na unasafisha cache kama hutaki kulogin upya kwa sababu ukisafisha data unafuta kumbukumbu zote za app.
 
Agiza mtori hapo ulipo lakini hakikisha nyama ziko chini

Back
Top Bottom