Atakuwa Cool Black huyu
Unainjoy nini bila ndoa?
Mdinyo na kampani 😂Unainjoy nini bila ndoa?
Kilicho nishangaza ni kuwa pesa yao ipo juu kuliko ya kwetu
Sasa hayo mambo yana furaha kubwa sana kama utayapata kwenye ndoa.Mdinyo na kampani![]()
Ndoa zenyewe hizo nazoziona huko MMU?Sasa hayo mambo yana furaha kubwa sana kama utayapata kwenye ndoa.
Changamka upewe ndoa wewe tufurahie Dunia