Ameenda kula bata na mjanja wake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kibali cha nani?Alidai hakupewa kibali
Matangazo kama yote.Kumekucha...zamu ya kunanga cha mpinzani,ila hiyo Mo namba 8[emoji16]View attachment 1922119
Hivi hii haiwezi kuongeza nguvu za kiume kweli
Ni jezi au Bango la matangazo?
Wapare, wasambaa, wachaga, wameru nkKwa Wapare hii inaweza isiwe adhabu aisee [emoji16]
View attachment 1922177
Dawa nyingi zinapunguza nguvu badala ya kuziongeza.Hivi hii haiwezi kuongeza nguvu za kiume kweli
Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app