Walifukuzwa kizembe sana.
Wanachi wakawe au wapiga debe wa Tegeta?
Mpiga picha angekuwa Hamza
Alidai hakupewa kibaliMbona alikataa kumkamata Gwajima?
Naye IGP ni janga
Pole mkuu naona wanataka kutuingilia na huku wakati hatuna ubaya wowote zaidi ya kufurahiAsante mkuu. Ingekuwa post kengeufu ningeelewa. Lakini memes tu tulizozoea hapa?
Mfano wa zilizofutwa:
View attachment 1921979
Mahabat.Walifukuzwa kizembe sana.
Wananchi waliohudhuria kumsikiliza rais wao regardless their ranking in the society.Wanachi wakawe au wapiga debe wa Tegeta?
Kibali gani, kauli ile ilikuwa ni order ya serikali na ikadharauliwa.Alidai hakupewa kibali
Ustaadh Taratibu.