Ndiye peke yake anayemfahamu mke wa yesu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tanzania raha sana
We endelea kushindana na baba yako au mama yako iko siku utalala na baba yako au mama yakoDouble standard View attachment 1920765
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Navyojua kuna wabunge waliwahi kusema kuwa Kigogo furani ni Masihi mwana wa Mariam.
Mi nadhani ili kukata shauri, hawa wabunge waonyeshe salary slip zao tuzione ili tuaminiane