Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

JamiiForums682479247.jpg
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Uchoko mwingine huwa ni wa kuzaliwa au namna gani, kwanini hamuelezi direct I mean that's still soft, kwanini hampi adhabu stahiki ili anyooke au kama vipi kwanini hampigi chini kama kweli anamuibia?
Strange world.
[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
 
Achana na hizo.
Mziki wenyewe huu hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mtuwache wahenga, wahenga tulikula maisha na visenti hivi aiseee[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]


Mzee SYB weka nenoView attachment 1919786
Sen'tano na sen'shirini zimekosekana hapo, ila kwa yeyote aliyetumia senti moja ya kitobo duh! I doubt kama yupo janvini.

Enzi za kidege ruka(hii wengi hawataelewa ni kitu gani).
 
Back
Top Bottom