Ila kwa mujibu wa Gwaji Boy,wazazi wote chuma ishalia. So kama yule wa leo church ndo kabaki,kitamaduni huyo ndo mkwe wa Dr Gwajima sasa. Sioni tofauti hapo,so yule ama ni baba mdogo ama mkubwa wa mume wa Dr Gwajima,huyo ndo mkwewe kwasasa.
Kitenge anatufata kiki ili aitwe shoga dunia ijue awe huru.