Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,861
- 147,199
Ndio mama zetu hao,Ukijibu unazarau
Ukikaa kimya jeuri,kiburi
Ndio mama zetu hao,Ukijibu unazarau
Wewe ni mgeni nini?Duh! Kumbe tumbo linakuwaga hivi[emoji41]
Ee,anaeweza kusonga ugali vizuriSafi sana mamaa. Nitazingatia sana ushauri wa baba kwenye kuchagua mke!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mama zetu hao,Ukijibu unazarau
Ukikaa kimya jeuri,kiburi
Natamani ningeelewa
Kama ya kuzamia aende malindi akazamie[emoji16]Siyo chunvi hiyo, chunvi ya 'kuizamia'
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Kuwa mama ni kazi sana,kulea kazi,kila mtoto na tabia yake[emoji16]Hahaha subiri na wewe ukiwa mama
[emoji16][emoji16][emoji16]. Hapo bado vitenzi shamirisho na ngeli za majinaView attachment 1897566
Sina shida na vimbaumbau vya hivi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1897848