James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,527
- 16,232
Hahaaaa
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Daaaa kwanzaa unaangalia pembeni kama kuna mtoto mzuri anakuangalia alafu unarudi kwenye bakuli unaendelea na sho
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa na vinasaba vya ccm
View attachment 1066065
Ha ha ha - Ukitaka kupaa au kupagaishwa vizuri na mgosi (mwanaume), pima kwanza UKIMWI.
Nimekuta bango hili kule Mlalo Lushoto.
Hii iende kule jf VAR [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Mambo ya biriani kupewa UDC View attachment 1084330View attachment 1084331
Mkuu sija kuelewaMambo ya biriani kupewa UDC View attachment 1084330View attachment 1084331
Hivi ndivyo tulikuwa tukifungiwa nyama na samaki sokoni. Aliyeleta plastic alaaniwe.
Hahaha