Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
[emoji16][emoji16][emoji16]hebu acheni hayo mambo yenu na mjukuu wakoNdo imetoka hiyo. Ukishaitwa kaka maana yake umeshapimwa katika mizani na umeonekana umepunguka. Kinachofuatia hapo ama ni brozone au friendzone. Pole [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1784]Ndo imetoka hiyo. Ukishaitwa kaka maana yake umeshapimwa katika mizani na umeonekana umepunguka. Kinachofuatia hapo ama ni brozone au friendzone. Pole [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huu usafiri wako njiti moja tu kwishnei[emoji16]Sena baadhi,mie usafiri wangu[emoji116] View attachment 1896055
Sio poa mkuuKweli mkuu kila mtu na priority zake. Mie suala la kupiga siwezi gombana na mke maana
Kha huo msambwanda hatari
Hamna mjinga yeyote mwenye uwezo wa kusimama eti anapiga mnada hilo jengo.
Alfu na nyie mbumbumbu mnaona taarifa ya kipuuzi kama hii mnafrahia[emoji23],hamna raia yeyote anaweza kugusa hapo
Anapelekewa moto. Si ajabu kaelemewa au ndo anamalizia malizia mpando wa kileleni Mawenzi...Zaidi ya hatari[emoji23]View attachment 1896062
Uligoma kuleta pdf karibia wiki inaisha sasa ulitegemea nini?[emoji16][emoji16][emoji16]hebu acheni hayo mambo yenu na mjukuu wako
Pdf inakuja mzee wangu, hebu mwambie mjukuu wako aje pm kwanzaUligoma kuleta pdf karibia wiki inaisha sasa ulitegemea nini?
Babu,huyo kijana kanichekesha hatari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anapelekewa moto. Si ajabu kaelemewa au ndo anamalizia malizia mpando wa kileleni Mawenzi...
Ila mjukuu una vituko yaani duh!
Kwa namna hii raia wataacha kukimbia nchi kweli?