Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,839
- 147,085
Niliamaga home,nikaenda kujitegemea kuishi kwenye nyumba yetu nyingine.....
asee mama alikujanifuata ninapoishi asubuhi saa 11,akanambia nimekuja kukuchukua kurudi nyumbani[emoji1787]
Niliamaga home,nikaenda kujitegemea kuishi kwenye nyumba yetu nyingine.....
Sema hicho kifua bado ni namba D kabisa aisee. Ni kulima kumelegeza bolt kidogo tu.Mambo ya Handeni hayo
View attachment 1895645
Ni zaidi ya simu[emoji7]Tecno y3 [emoji16]View attachment 1895549
Sema hiyo mitumba ndo inakimbiza aisee!!
Philips ile mchi aisee. Kwanza akinuna nakua nadate Kiboko walahi.....mdomo unakua kama ng'ombe anaesukuma ndama wakati wa kuzaa....Tecno y3 [emoji16]View attachment 1895549
Sponsa yupo ndani halafu anakwambia mama amekuja kumtembelea [emoji16]Naona mnyama kaegeshwa hapo nje. Halafu we msela wakati huo hata baisikeli huna. Dunia ya kuoneana tu!
Kuna mtu alikulipia bill labda, akaona isiwe tabu aje akuchukue tu kabla hajaamia kabisa hapo [emoji16]Niliamaga home,nikaenda kujitegemea kuishi kwenye nyumba yetu nyingine.....
asee mama alikujanifuata ninapoishi asubuhi saa 11,akanambia nimekuja kukuchukua kurudi nyumbani[emoji1787]
Hata kama akiwa iphone 12 pro max tutabanana nae humohumo[emoji13][emoji13]Ni zaidi ya simu[emoji7]
Unakuta dada ni mtumba halafu anakuuliza namba yangu umetoa wapi na anakuwa mkali kabisa[emoji16][emoji16]Sema hiyo mitumba ndo inakimbiza aisee!!
Ni mademu wachache sana tunaowaona wazu huku mitandaoni na mitaani ambao hawana watoto. Sisemi kupata mtoto ni laana,hapana,sema nao wasituringie kiviiiiile ilhali ni mitumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dooh[emoji16]Philips ile mchi aisee. Kwanza akinuna nakua nadate Kiboko walahi.....mdomo unakua kama ng'ombe anaesukuma ndama wakati wa kuzaa....
Mungu anisamehe tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nywele kama hizo bila mpira ni kutafuta kifo tu [emoji16][emoji16]Kiapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1895657
Hapana,nilimchukua na dogo kabisa nilikuwa naishi naeKuna mtu alikulipia bill labda, akaona isiwe tabu aje akuchukue tu kabla hajaamia kabisa hapo [emoji16]
Unaweza kubanana[emoji23]Hata kama akiwa iphone 12 pro max tutabanana nae humohumo[emoji13][emoji13]