Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wewe si ulimaanisha; wewe mshamba wa kisukuma na mimi mshamba wa kinyaki tunawowana?

Nimeshaku-pm namba ya kutuma muamala, naungoja hapa uuuuuuuuuuuh
Wapi nimesema wewe mtumishi ni Mnyaki mshamba? Ukinionyesha natuma laki tatu sasa hivi na ushahidi naweka hapa! [emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
 
Wewe si ulimaanisha; wewe mshamba wa kisukuma na mimi mshamba wa kinyaki tunawowana?

Nimeshaku-pm namba ya kutuma muamala, naungoja hapa uuuuuuuuuuuh
Siyo kirahisi hivyo Mtumishi. Umejuaje kuwa nilikuwa namaanisha hicho na siyo kile? Unaweza kuthibitisha conclusively (and without any reasonable doubt) kuwa hicho ndiyo nilikuwa namaanisha na si kingine cho chote katika millions and millions of other possible meanings?
 
5,000 we unaiona ni ndogo? Jana umepigwa 5,000 na Voda imekuuma mpaka basi halafu leo unaidogosha kwa vile siyo yako?
Umeona babu,yaani hela kamtumia baby wake,baby kasema hatoweza kujja barakoa haijakauka,

Sass unailudishaje,si unamuachia tu[emoji16]

Kweli hela yangu inaniuma hadi leo,japo nimepewa nyingine baada ya kuonwa nalialia sana[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…