Vituko mitandaoni. Tupia chako

Pamoja mkuu[emoji120][emoji120][emoji4][emoji4]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujumbe nimeupokea, ngoja niongeze bidii ili nisije kuipoteza hiyo nafasi ya permanent permit ya motoni.

[emoji120][emoji120]

Shukrani sana kiongozi.
Mi napenda sana furaha, kwahiyo napendelea kushare vucheko ili angalau tusahau kwa muda changamoto zetu za maisha.

Asante sana[emoji120][emoji120][emoji120]

Pamoja mkuu[emoji120][emoji120][emoji4][emoji4]
Pamoja sana, Endeleeni kushea maana mnatumia bando na muda wenu kutufarahisha. Btw haka kauzi ndio kalifanya ni-Unstall FB, maana nilichokua nafuata naapata humu.

@Malachiach nilikusahau ajili ya ugumu wa jina..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…