Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,336
- 71,163
[emoji16][emoji16][emoji16]nipo na glass ya maji jikoni navuta pumzi kidogo kabla sijaendelea kummwagia mtoto wa mtu motoHulali? Au uko lokesheni unampelekea moto mtoto wa mwanaume mwenzio?
[emoji16][emoji16][emoji16]nipo na glass ya maji jikoni navuta pumzi kidogo kabla sijaendelea kummwagia mtoto wa mtu motoHulali? Au uko lokesheni unampelekea moto mtoto wa mwanaume mwenzio?
Hakikisha faya eksitinguisha ipo karibu. Kibao kinaweza kukugeuka anytime[emoji16][emoji16][emoji16]nipo na glass ya maji jikoni navuta pumzi kidogo kabla sijaendelea kummwagia mtoto wa mtu moto
Hizi make up wanapaka wanawake zinazidi mpaka zinakuwa kituko, sijui hawajionagi au vipi!
Huo moto namwaga hata nguvu ya kubeba dumu la petroli ataipatia wapi [emoji16][emoji16]Hakikisha faya eksitinguisha ipo karibu. Kibao kinaweza kukugeuka anytime
Ina maana huyu mama bila mekapu haonekani kuwa ni mzee? Waliompaka mekapu wamemharibu sana!Hizi make up wanapaka wanawake zinazidi mpaka zinakuwa kituko, sijui hawajionagi au vipi!
Hongera sana kamanda kwa kulinda heshima ya ukoo na ya Jamhuri!Huo moto namwaga hata nguvu ya kubeba dumu la petroli ataipatia wapi [emoji16][emoji16]
Nahisi huwa zinakuwa too much, unakuta mpaka ile sura halisi ya bi dada inapotea anakuwa kama kitukoIna maana huyu mama bila mekapu haonekani kuwa ni mzee? Waliompaka mekapu wamemharibu sana!
Yeah! Bila mekapu yuko vizuri...Nahisi huwa zinakuwa too much, unakuta mpaka ile sura halisi ya bi dada inapotea anakuwa kama kituko
Basi alizidisha 'foundation' [emoji16]Yeah! Bila mekapu yuko vizuri...
View attachment 1884798
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Haya Mtumishi. Ana bahati huyo bro aliyeokota lulu katika shimo la taka. I hope he knows that. Kabarikiweni sana na matamanio ya mioyo yenu hiyo michanga inayodunda kwa matumaini makubwa na yakatimie...
View attachment 1884779
#MtaachanaTu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]