Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Bajaji haijawahi kushindwa
FB_IMG_1628105721879.jpg
 
Imelaaniwa kwa kosa gani?
Congo haijabahatika kupata kiongozi mwenye uchungu na nchi.
Ipo siku watampata.
Hata wakimpata kiongozi mwenye uchungu na nchi ile hatadumu kwa muda mrefu atauwawa tu. Rare minerals kama Cobalt, Titanium na Tungsten zinahitajika sana kwa sasa halafu aje kiongozi eti mzalendo ajaribu kuwazuia wazungu wasiendelee kujichotea. Hatachukua raundi nakwambia!
 
Lakini uma hauna mbele wala nyuma ni kama kipochi manyoya tuu
Akiinama kiko nyuma akisimama kiko mbele
Akichuchumaa kiko chini[emoji376][emoji125][emoji100][emoji376][emoji125][emoji100][emoji376][emoji125][emoji100][emoji376][emoji125][emoji100]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] brother naumwa usinitingishe
 
Back
Top Bottom