Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako


Nimecheka tu mpaka basi....ila hawa watu na movie zao, kuna kipindi natazama moja na watoto wangu halafu humo wakaonyesha mashoga yanapiga denda, yaani gays wana kiss kabisa kwenye movie ya kawaida ambayo sikutegemea upumbavu wa aina yoyote, nilijikuta nawahoji wanangu maswali ya mambo mengine hata ambayo sikujua nauliza nini.
 
Mahakama imeruhusu tuzidishiwe utamu
IMG-20210804-WA0002.jpg
 
Halafu unajua hii sio meme bali ni kitu real kabisa, juzi nilikutana na bodaboda anaelekezwa kwenye simu mahala lodge ilipo halafu nyuma kapakia mama moja safi kabisa, mbaya zaidi yule boda ana shout kwa nguvu mpaka watu wa karibu tukaelewa mama anapelekwa lodge gani
 
Back
Top Bottom