Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Wanaume sisi dah!
Wanaume sisi dah!
Hawa ndo walikuwa wenyewe sasa. Wengine wote uchwara tu [emoji16]Madikteta wa nchi za maziwa makuu miaka ya 70.View attachment 1879278
hii ni kweli aisee alafu sio tu ana mtoto ni kuwa jamaa aliyemzalisha hawajibiki ipasavyo kwenye utunzaji wa mtoto, wenyewe wanajiita one man army . ni wepesi sana kuwatongoza na kukubaliwa ,hawana zile nyodo za usichana tena
May God bless all the singo mazaz [emoji1545][emoji1545][emoji1545]hii ni kweli aisee alafu sio tu ana mtoto ni kuwa jamaa aliyemzalisha hawajibiki ipasavyo kwenye utunzaji wa mtoto, wenyewe wanajiita one man army . ni wepesi sana kuwatongoza na kukubaliwa ,hawana zile nyodo za usichana tena