Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,236
- 31,197
Ahsante,karibu sana.Nitakuja kukusalimia mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeona hiyo, watu noma[emoji16][emoji16]Aisee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Acha wazi milango na madirisha ili angalau nikipita nje nikuoneAhsante,karibu sana.
Unaweza kukimbia,maana kuna mapaka[emoji23]Acha wazi milango na madirisha ili angalau nikipita nje nikuone
Kawimbo nilikuwa nakapenda mno
Wa Tz tumevulugwa kweli kweli😬[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeona hiyo, watu noma[emoji16][emoji16]