Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Mwacheni mama jamani aupige mwingi [emoji16][emoji16]
Mwacheni mama jamani aupige mwingi [emoji16][emoji16]
Huyu Bantu Hajia huyu dah! Sura ya baba lakini msambwanda sasa pwaaah!
Mitandao yataka moyo aisee!!! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kriss Ray duh!
Ni kama vile alikuwa amesubiria tu kutoa povu [emoji16]
Kama yule Zodwa Wabantu! Sura ya babu haswa, wacha baba! 🤣 🤣 🤣Huyu Bantu Hajia huyu dah! Sura ya baba lakini msambwanda sasa pwaaah!
Umeanza mambo yako [emoji51][emoji51][emoji51]
😂 😂 😂Umeanza mambo yako [emoji51][emoji51][emoji51]
Theodorin Obiang wa Equitorial Guinea,Si vikwazo tu Ufaransa wameshataifisha na kupiga mnada majumba yake yote na Mabugatti yenye thamani ya Euro 150 milioni(B 300 na ushee),watu wana laana hawa,wananchi wake maskini haswaIla viongozi wa Afrika ufalme wa mbingu watausikia kwenye biblia, yaani baba Raisi kampa mwanae umakamu wa Raisi[emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 1872614
Jamaa anakwambia yeye anataka achanjwe kwenye makalio sio begani,ndio utajua hujui[emoji3]My man Duterte [emoji15]
View attachment 1874009
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani hadi mawakala wakutoa roho wapo siku hizi View attachment 1874000
Na aliyeko nje hakuna kuingia ndaniMy man Duterte [emoji15]
View attachment 1874009