Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mapenzi bana
Tumblr_l_1625001640900056.jpg
 
Nchi zetu hizi ni shida. Huyo mtoto wa rais wa Equatorial Guinea - Teodoro Obiang Nguema Mbasogo anaishi maisha ya kifahari hata mastaa wa Hollywood wakasome. Dogo halafu ni show off balaa. Aliwahi kununua huu mjengo kule Beverly Hills jirani na akina Anodi Shwazenega kwa dola milioni 44 keshi. Mpaka wanaharakati walipopaza sauti na serikali ya Marekani kuanza kufuatilia utajiri wake wa kupindukia ndo akaliuza pamoja na msururu wa magari ya kifahari. Yaani hela za mafuta na gesi za Equatorial Guinea hazijamsaidia mtu wa kawaida kabisa. Na kama ulivyosema, hali ni hiyo hiyo karibu bara zima japo kwa viwango tofauti tofauti. Ufisadi ndiyo tatizo nambari wani kwa bara hili tajiri lakini masikini ajabu. Afadhali hata nyie huko Kenya mmepiga vihatua hatua kidogo kimaendeleo japo sina uhakika kama ni maendeleo (jumuishi) ya watu.
View attachment 1872884
Dah tunatofautiana kwa kweli dollar million 44 unanunua mjengo. Yaani mie nafanya kama mswati tuu...ni kuvuta bikra mupya mupya tuu
 
Back
Top Bottom