Mbona umeshangaa? Bonge la kiti hiloAisee

Mtoto mgonjwa huyo jamani msitusingizie sugar daddies

Hukumu ya Morrison imeshatoka. Taratibu zinasemaje?
Hiyo GB WhatsApp ina maajabu gani. Naisikia sikia tu. Na inapatikanaje?
We unaweza kukikalia?Mbona umeshangaa? Bonge la kiti hilo![]()
Maelekezo kwa buku 10.Hiyo GB WhatsApp ina maajabu gani. Naisikia sikia tu. Na inapatikanaje?
Nchi zetu hizi ni shida. Huyo mtoto wa rais wa Equatorial Guinea - Teodoro Obiang Nguema Mbasogo anaishi maisha ya kifahari hata mastaa wa Hollywood wakasome. Dogo halafu ni show off balaa. Aliwahi kununua huu mjengo kule Beverly Hills jirani na akina Anodi Shwazenega kwa dola milioni 44 keshi. Mpaka wanaharakati walipopaza sauti na serikali ya Marekani kuanza kufuatilia utajiri wake wa kupindukia ndo akaliuza pamoja na msururu wa magari ya kifahari. Yaani hela za mafuta na gesi za Equatorial Guinea hazijamsaidia mtu wa kawaida kabisa. Na kama ulivyosema, hali ni hiyo hiyo karibu bara zima japo kwa viwango tofauti tofauti. Ufisadi ndiyo tatizo nambari wani kwa bara hili tajiri lakini masikini ajabu. Afadhali hata nyie huko Kenya mmepiga vihatua hatua kidogo kimaendeleo japo sina uhakika kama ni maendeleo (jumuishi) ya watu.Hii kweli hizi nchi zetu ni shithole kwa kwenda mbele, ila kuna wengine wanazidisha ujuha, yaani rais amteue mwanaye kuwa makamu na kukalike bila makelele.








