Dah! Kuna watu ving'ang'anizi....
😂😂😂😂😂Dah! Kuna watu ving'ang'anizi....
Labda hizo kuni ni kama vile vijiti vya kuwashia moto[emoji16][emoji16]
Nia ilikuwa kuung'oa ule mwiko kule nyuma lakini Engineer Thadeo Lwanga akaamua kuushindilia na kuuzamisha ndani kabisa ili usionekane tena asilani.
Kama ameanza hivyo ujue kinachofuata anakuinamisha kabisa,hama haraka utaliwa