Hahahahahahah
Marahabaa mjukuu. Mimi sijambo sana. Asante kunikumbuka. Jiangalie huko maporiniBabu,shikamoo
Nimekukumbuka.
Una uhakika hakana pesa za kutosha mkuu? Slei kwini kweli ahurumie kajamaa kama haka bure bure tu?View attachment 1869557
Wanaume Wanaume tu. Kajamaa pamoja na kuhurumiwa tu na huyu dem kukapa papuch
Ni zile baisikeli zenye injini au ni bangi tu zimemzidia?
Halafu mijini tunaambiwa level siti. Yaani safari hii wamegota. Watanzania wanawaangalia,wanacheka,wanasema"ihiiiii"..…...