Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nchi ya matukio hii. Moto wa miamala ulipamba moto...watu wakaambiwa waende Burundi...mama akatoa maagizo wizara husika sijui zifanyeje...mara paap Mbowe ndani kwa ugaidi. Twitter na mitandao yote inamwongelea Mbowe. Miamala naona ndo imetoka hiyo. Mbowe ataachiwa na hakuna atakayekumbuka miamala tena hasa kama katukio kengine katafuatia. Bongo !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…