Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Kwa kweli hata miye sijapenda!
Nitafika mpendwa nikuje kutumaTunatoa huduma nchi nzima.
Hapa Dar tupo mtaa wa Msimbazi, mkabala na klabu ya Simba.
Dahh sasa hii bebe mpya niliyoipata ambayo kiuno 22,uzito kg 38 itakuwaje mwenzenu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1860922
😂 😂 😂[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1860922
Njoo tukuhudumieNitafika mpendwa nikuje kutuma
Wataziunganisha na super glueHata mkizikata kata, hawasikiagi hawa viumbe! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 1860937
😂 😂 😂Wataziunganisha na super glue
Watamu balaa [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Huwa unawala hao wadudu?
Inenepeshe [emoji16][emoji16][emoji16]Dahh sasa hii bebe mpya niliyoipata ambayo kiuno 22,uzito kg 38 itakuwaje mwenzenu[emoji16][emoji16][emoji16]
Hata mkizikata kata, hawasikiagi hawa viumbe! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 1860937
Ugali upi mnapendelea..wa udaga ,dona ama sembe???Sasa hapo pilau kwa Msukuma si ni kama matunda tu. Andaa na ugali tunakuja