platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,530
Sasa hapo pilau kwa Msukuma si ni kama matunda tu. Andaa na ugali tunakujaKaribu sana ..nitakuandalia pilau sato uje ushindwe wewe tu[emoji39][emoji39]
Sasa hapo pilau kwa Msukuma si ni kama matunda tu. Andaa na ugali tunakujaKaribu sana ..nitakuandalia pilau sato uje ushindwe wewe tu[emoji39][emoji39]
Balaa linaanzia kanisani, mkifika home ni kukuchoma moto tu [emoji16][emoji16][emoji16]Picha linaaanza [emoji4][emoji16][emoji28]
Kamdai fine uoneMwenye nyumba njoo uone! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 1860421
Hiyo 8" aliyoibeba akiizoea si ndiyo baadaye tuingia sisi tusemwe viba100 😜. View attachment 1860635
South Africa, kila mja aliiba kinachomfaa.
Mahusiano ya sahivi ni vita tupuMahusiano yanachukua furaha
ZimbabweTanganyika
Tuwaite mods waje wakupige ya kweli kweli?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Tuwaite mods waje wakupige ya kweli kweli?
Mods njooni huku kuna mtu anawabeep. Na mnavyopenda kugawa ban msiipoteze hii chance [emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Waite.