HahahaaaaNa hili baridi[emoji23]View attachment 1860164
Minyooo sugu tumboni duh
Wa kuogeshwa kwnye beseni lenye maji ya hiliki
Na kwenye hizo ndoo si ajabu amejaza makande [emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe na rukia16, pilau la Idd wapi? Kwenye pasaka tuliwakaribisha vyema tu. Msije mkasahau kuwa Krismasi is loading [emoji16][emoji16]My sister.View attachment 1860359