Waweza kuua sio [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi kushea siwezi yaani nijue kwamba jamaa ana mwanamke nami nikae kati aisee niko na wivu mbaya labla nisijue
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1858996
Bongo movie
Kivutio Afrika Magharibi.
Kila mmoja anataka kupiga picha na dogo mwenye urefu wa ft 8.6' nchini Ghana.
Kijana huyu kutokana na urefu wake anapata changamoto kupanda daladala View attachment 1858027
Happy birthday to you[emoji7][emoji7]View attachment 1859101
Happy birthday to you. Ndo umegonga 18 ama?[emoji7][emoji7]View attachment 1859101
Wala hakuna historia hapo. Bado Elimu ni tatizo.
Ahsante,....oooh!! Nazeeka sasa 26yrs.Happy birthday to you. Ndo umegonga 18 ama?
Ahsante sana.Happy birthday to you
26 yrs mai futi. Labda sio yule wa vidimpozi. Sana sana 19. Mjukuu wangu kabisa yaani!Ahsante,....oooh!! Nazeeka sasa 26yrs.
Wallah 26.26 yrs mai futi. Labda sio yule wa vidimpozi. Sana sana 19. Mjukuu wangu kabisa yaani!
[emoji512][emoji512][emoji512][emoji7][emoji7]View attachment 1859101