Mimi kushea siwezi yaani nijue kwamba jamaa ana mwanamke nami nikae kati aisee niko na wivu mbaya labla nisijueKumbeee, asante sana mpendwa ila usijefanya hiyo
😀😀😀ndioHata wewe mpendwa[emoji849]View attachment 1858768
Hapo hamnaChagua shepu yako hapo ili tuende samabamba [emoji2211][emoji2211]