Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Kwa utafiti uliopo wanawake ndiyo wanaongoza kwa kuchepuka.Mbona simple tu,acheni kuchepuka.
Wanawake asilimia 58
Wanaume asilimia 42
Hoja yako imekufa kifo cha kibudu
Kwa utafiti uliopo wanawake ndiyo wanaongoza kwa kuchepuka.Mbona simple tu,acheni kuchepuka.
Babu yangu ni mzee wa kanisa,hatumii hivyo...yeye na biblia muda wote[emoji2]Marahabaaaa! Mambo si haya sasa!
Kama babu yako ni Msukuma basi ndo mimi. Baada ya nusu saa hivi nitakutuma ukaniletee ugoro hapo gengeni. [emoji16][emoji16][emoji16]
Ila kama kweli mnauaga waume zenu wakipata mali basi acheni au punguzeni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Ooh afadhali jamani [emoji4]
Basi huyo ni mimi kabisa. Ugoro navutaga kwa siri sana!Babu yangu ni mzee wa kanisa,hatumii hivyo...yeye na biblia muda wote[emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hoja yangu inanuka[emoji3061]Kwa utafiti uliopo wanawake ndiyo wanaongoza kwa kuchepuka.
Wanawake asilimia 58
Wanaume asilimia 42
Hoja yako imekufa kifo cha kibudu
giant, wapo wachache sana hapa bongoKivutio Afrika Magharibi.
Kila mmoja anataka kupiga picha na dogo mwenye urefu wa ft 8.6' nchini Ghana.
Kijana huyu kutokana na urefu wake anapata changamoto kupanda daladala View attachment 1858027
[emoji23] jamani mbona unataka kutugeuka tena sasaIla kama kweli mnauaga waume zenu wakipata mali basi acheni au punguzeni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji16][emoji16][emoji16]utachomwa moto na utakufa huku unashangaa juzi kkoo nasikia walikuja na ndoo mbili tu soko lote lile,kwako watakuja na kandoro za mia tatu kuzimia moto[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zimamoto nao hawana maji. Pambana na hali yako [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1858701
Ngoja nianze kufanya upelelezi[emoji23]Basi huyo ni mimi kabisa. Ugoro navutaga kwa siri sana!
😀😀Huyu dogo kiki zake zimetokomea
naunga mkono hojaKabisa yaani...
View attachment 1858463