Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,382
Washindweee !!!
Mimi hapana. Kwa umri naweza kuwa sawa baba au babu yako kabisa. Tena ikikupendeza anza kabisa kuniita baba au babu...na shikamoo za kutosha![]()


mie mjukuu,


Haya anza kuniita babu sasa...na shikamoo zisikosekane!mie mjukuu,
Mtanyooka tuWadada wa Kichaga sasa watateseka kweli. Na kwa vile huwa wanasingiziwa eti huwa wanaua waume zao, huyu Grace aka Neema ndiyo kawaharibia kabisa.
View attachment 1858698



Wadada wa Kichaga sasa watateseka kweli. Na kwa vile huwa wanasingiziwa eti huwa wanaua waume zao, huyu Grace aka Neema ndiyo kawaharibia kabisa.
View attachment 1858698



mbona tutakomaKwenye hili hamtashinda; na wala siyo jambo la kufurahia hili. Mapenzi yakitushinda tuachaneni kwa amani tu...Mtanyooka tu![]()
Shikamoo babu,oooh nina babu yangu anaitwa mzee simba....au ni weweHaya anza kuniita babu sasa...na shikamoo zisikosekane!


Hapana. Siye tunawapenda na tutawatetea mpaka tone la mwisho. Huyu Grace hawezi kuharibu sifa ya kabila zima. Nefaaaaambona tutakoma



Kwahiyo....wanaume,kwani mnaamuaje???Kwenye hili hamtashinda; na wala siyo jambo la kufurahia hili. Mapenzi yakitushinda tuachaneni kwa amani tu...
Marahabaaaa! Mambo si haya sasa!Shikamoo babu,oooh nina babu yangu anaitwa mzee simba....au ni wewe![]()



Ngoma droo...ila kwa vile mnapigania usawa basi sawa japo kamwe haitakuwa sawa mpaka itakapokuwa sawa!Kwahiyo....wanaume,kwani mnaamuaje???
Mbona simple tu,acheni kuchepuka.Ngoma droo...ila kwa vile mnapigania usawa basi sawa japo kamwe haitakuwa sawa mpaka itakapokuwa sawa!
Ooh afadhali jamaniHapana. Siye tunawapenda na tutawatetea mpaka tone la mwisho. Huyu Grace hawezi kuharibu sifa ya kabila zima. Nefaaaaa
View attachment 1858705
