Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji23]
 
Mungu wangu[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kinaitwa cha fastaa
 
Daah kwa hiyo wanyaki sisi tusio na misambwanda ndiyo inakuwaje tena jamani?
Wanyaki nakwambia haya ndo maumbo yao. Wamefungasha balaa. Mi nahamia huko tukabanane kwenye maparachichi hivyo hivyo. Na kwa vile napenda kuvaa suti si ajabu hata kanisa nitapewa aisee...Wanyaki hia ai kamu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…