Kwahiyo mrembo akachagua mume mwenye V8?πππNilishuhudia mtanange huu wa waoaji kwa mtoto wa mjomba nilishangaa sana. Waoaji walikuwa wanapambana mpaka ng'ombe wakafika 85 na pesa laki 8. Kisa tu binti alikuwa cheupe, toli, kasoma (A'level) na umbo lake la haja. Ila wote walikuja kuzidiwa na jamaa mmoja aliyeingia na gia ya vieite na makorokocho mengine.
Changamoto inakuja mimi ni cheusi mangara na sitaki kunywa karolaiti.nimeingiwa na wasiwasi ππUandae na Lori la kubebea ng'ombe zako, nina uhakika hizo ng'ombe 200 utapata. Chezea wasukuma kwa mwanamke mrembo weye πππ
Hakuna cha poor her alikuwa sahihiKwahiyo mrembo akachagua mume mwenye V8?πππ
Nina wasiwasi huyo binti atakuwa alipotoshwa, unaachache ng'ombe ambazo ni utajiri uende kwa mwenye V8π
Poor her ππ
We mbona nilipokuletea IST yangu uliikataa?πππHakuna cha poor her alikuwa sahihi
7/8 wamekubali kuja, ingawa Chakorii amesema aandaliwe ng'ombe zake za kurudi nazo Mjini ππWalete mkuu. Wakirudi huko walikotoka watakuwa na mengi ya kusimulia kuanzia upole na ukarimu wa Wasukuma mpaka uchapakazi wao; na mengineyo mengi mema...
Asante sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mnyaki (tena wa Tokyo) nikupe siri zetu kha! Why? When? How? [emoji51]
View attachment 1822297 Cc Heaven Sent wakuu huu hapa...
usijari mwenza rafiki....Ahsante sana mwenza rafiki
Mapozi yao
Huu ni msingi wa mwaka 1800 kwa sasa hautumiki tena