Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Weee usiwachukulie poa wasukuma na ushamba wao ooooh
Hapana jamani, hatuwezi kuwafikia wasukuma.
Mtumishi ushindwee. Nilifikiri unatutetea kumbe wembe ni ule ule. Hovyo kabisa yaani [emoji16]Nyie kwa ushamba hamna wapinzani[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji16][emoji16][emoji16]. Baharia yuko vizuri
Naiomba mkuu kama unayo. Mwakipesile ndiye ametawala Playlist yangu hasa nikiwa katika masafa marefu yaani ni upako tosha huko barabarani. Yuko vizuri sana huyo mtumishi na huduma yake inabariki wengi na si Wanyaki peke yenu.Kuna nyimbo ya mbarikiwa mwakipesile kaimba asee... Mwenza rafiki
Mtumishi ushindwee. Nilifikiri unatutetea kumbe wembe ni ule ule. Hovyo kabisa yaani [emoji16]
View attachment 1821961
Tunawasuburi huku Misungwi kwa hamu tuje tuwapeleke kwenye mashamba ya dengu na nyanya. Watoto wa kishua naona mtaaga siku hiyo hiyo [emoji16]Wasukuma wenyewe wanasemaje kwanza mpendwa
Ushindweeee
Walete mkuu. Wakirudi huko walikotoka watakuwa na mengi ya kusimulia kuanzia upole na ukarimu wa Wasukuma mpaka uchapakazi wao; na mengineyo mengi mema...Wamesema wanawaandalia Nyama ya Mbuzi za kutosha lakini msisahau kuwapelekea Diamond wakamwone live. Wamesema wamechoka kumwona kwenye Video kila siku [emoji87][emoji2][emoji2]
SHIMBA YA BUYENZE
Mpendwa, kwa nini? Basi we hatutakupeleka kijijini. Tutakuacha hapo Mwanza Gold Crest Hotel tutakukuta.Oooh ok ila kwenye orodha yako ya kwenda Usukumani nitoe maana sifikilii kwenda uko.