Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Ni babaake Ajib nini huyu?
Kwa kweli vituko vyenu baada ya kuingia simu janja (smartphone) ni balaa.Hahahaa tuacheni tu wanyaki jamani
Mkuu hatupendi ukorofi ujueππKwa kweli vituko vyenu baada ya kuingia simu janja (smartphone) ni balaa.
Baada ya vituko vya Wasukuma mnafuata nyie na kwa mbaali nawaona Wapare ππππ»ππ»
SHIMBA YA BUYENZE financial services
Kumbe we ni Mnyaki wa Tukuyu?
View attachment 1821080
Nilifikiri wa Kyela [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1821081
Kwa kweli vituko vyenu baada ya kuingia simu janja (smartphone) ni balaa.
Baada ya vituko vya Wasukuma mnafuata nyie na kwa mbaali nawaona Wapare [emoji23][emoji23][emoji1322][emoji1322]
SHIMBA YA BUYENZE financial services
Weee uisiwachukulie poa wasukuma na ushamba wao ooooh
Enzi hizoooView attachment 1820870
Miaka yangu 4 niliyoishi Mbeya niliinjoi sana vituko na vitimbi vyenu vya Kinyaki ππMkuu hatupendi ukorofi ujueππ