😂😂😂 Kuna jamaa alileta uzi akasema baada ya kumjibu vibaya tapeli kama ulivyofanya ww, tapeli akamuambia jamaa kwamba hizo pesa nilizokutumia ukishazitoa uziviringishe utengeneze mduara halafu ujiingizie mku*ndun!
Hahahaaa wana matusi sana na mie niliona huo Uzi alimwambia viringisha hiyo million 2 kama sigara halafu sokomeza huko😂😂
 
Kimbaumbau atulize boli japo hali ni tete kama mzee anapenda misambwanda. Hapa nilipopanga pia tuna huu mtihani ila tushazoea sema ukiuona kwenye kitenge ndo tatizo
20210615_004223_2.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom