Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,380

Tulikuwa na Mbwa nyumbani nikauwa zote ili zisimupigie kelele usiku lakini bado haikutosha
Duhh...ilikuwajeMi yakwangu haipo kabisa kwenye picha. Kitu 240![]()

Wamekwenda chuo kusoma, sio kufata mapenzi, kuna haja ya kuwekwa sheria kali kwa wanafunzi endapo wakibainika ni wapenzi ni afadhali wawe wanafukuzwa tu!!Mapenzi haya vijana yatawaua...Sad!
View attachment 1819208
Kuna mtu nilimwachia simuni wewe umetuma hii au simu umempa mwengine
![]()

Inamaana huko kulikuwa hakuna gar za moja kwa moja had dar ama mm ndio sielewiWakinga wameweka sherehe
Eeh hawakuwa nazo,hiyo kampuni ndio ya kwanza kwa safari za moja kwa moja DarInamaana huko kulikuwa hakuna gar za moja kwa moja had dar ama mm ndio sielewi
😂 😂 😂 Alafu ukimaliza ulizime kwa maji! 🤣 🤣 🤣
Hapa lazima wakutoanishe hata jero, hapatoki mtu. Nka wamekuwa trained vile! 🤣 🤣 🤣
Umepata wapi tena saulimeti! Si tulikubaliana hadi ukija Mbeya ndiyo tukuandalie makatapela na mbalagha kama special meal jamani😛