Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 5,119
- 8,351
[emoji2815][emoji2815][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji849][emoji1]View attachment 1816241
Kuna watu ni wawazi mpaka wanatishaView attachment 1816267
Kujiongeza muhimu
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1816268
Kujiongeza muhimu wanaume[emoji16][emoji16]
Kawaida tu. Ndiyo maana tunasema lugha ni sauti za nasibu tu na kitajwa na kirejelewa havina uhusiano wa moja kwa moja. Kwa hivyo kila jamii-lugha ina uhuru wa kukiita kitu cho chote kile itakavyopenda.Hapa lazma kuna mkono wa mswahili. USA hii alafu Jamba lenyewe? [emoji2305][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1816299
View attachment 1816300