[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1808373
"Wewe ni msukuma?"
"Hapana"
"Kweli?"
"Ndio"
"Sema Dokta"
"Dogita" [emoji2305]
"Wewe ni mhaya?"
"Hapana"
"Kweli?"
"Ndio"
"Sema Ng'ombe"
« Ngombe » [emoji2305]
´Wewe ni msambaa?"
"Hapana"
"Kweli?"
"Ndio"
"Sema Corona"
"Coona" [emoji2305]
"Wewe ni mchaga?"
"Hapana"
"Kweli?"
"Ndio"
"Sema hizo ‘nguo uzifue"
"Hiso nguo usifue" [emoji2305]
"Wewe ni Mmakonde"
"Hapana"
"Kweli?"
"Ndio"
"Sema mtu mkubwa"
"Ntu nkubwa" [emoji2305]
"Wewe ni mhehe?"
"Hapana"
"Kweli?"
"Ndio"
"Sema karantini"
"karandini" [emoji2305]
"Wewe ni muha?
"hapana "
‘Kweli?’
‘Ndiyo’
"sema ‘nne’"
« Ine » [emoji2305]
"Wewe ni mkurya?"
"Hapana"
"Kweli?"
"Ndio"
"Sema uji"
« Uchi » [emoji2303]
"Wewe ni mpare?"
"Hapana"
"Kweli?"
"Ndio"
"Sema Samaki"
"Thamaki" [emoji2303]
Wewe ni mmeru?
Hapana
Kweli?
Ndio
Sema parachichi!
"Barashishi"[emoji40][emoji12]
Wewe ni Mnyakusa?
Hapa na
Kweli?
Ndiyo
Sema chupa ya chai!
" Kyupa ya kyai" [emoji2304]
[emoji2099][emoji2099][emoji2443]
Hata kama ni mtumishi wao hawawezi kukubali [emoji16][emoji16][emoji16]
Mtadili naye tena kivipi mwenyekiti? Mtamuua? Acheni vyombo vya haki vifanye kazi yake.
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1808379
Kosa kubwa![emoji1787]Ndo imetoka hiyo [emoji16]
View attachment 1808435
Aisee Mungu asaidie tuwe na katiba mpya huyu ni Shetani
"Wewe ni msukuma?"
"Hapana"
"Kweli?"
"Ndio"
"Sema Dokta"
"Dogita" [emoji2305]
"Wewe ni mhaya?"
"Hapana"
"Kweli?"
"Ndio"
"Sema Ng'ombe"
« Ngombe » [emoji2305]
´Wewe ni msambaa?"
"Hapana"
"Kweli?"
"Ndio"
"Sema Corona"
"Coona" [emoji2305]
"Wewe ni mchaga?"
"Hapana"
"Kweli?"
"Ndio"
"Sema hizo ‘nguo uzifue"
"Hiso nguo usifue" [emoji2305]
"Wewe ni Mmakonde"
"Hapana"
"Kweli?"
"Ndio"
"Sema mtu mkubwa"
"Ntu nkubwa" [emoji2305]
"Wewe ni mhehe?"
"Hapana"
"Kweli?"
"Ndio"
"Sema karantini"
"karandini" [emoji2305]
"Wewe ni muha?
"hapana "
‘Kweli?’
‘Ndiyo’
"sema ‘nne’"
« Ine » [emoji2305]
"Wewe ni mkurya?"
"Hapana"
"Kweli?"
"Ndio"
"Sema uji"
« Uchi » [emoji2303]
"Wewe ni mpare?"
"Hapana"
"Kweli?"
"Ndio"
"Sema Samaki"
"Thamaki" [emoji2303]
Wewe ni mmeru?
Hapana
Kweli?
Ndio
Sema parachichi!
"Barashishi"[emoji40][emoji12]
Wewe ni Mnyakusa?
Hapa na
Kweli?
Ndiyo
Sema chupa ya chai!
" Kyupa ya kyai" [emoji2304]
[emoji2099][emoji2099][emoji2443]