Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,373
- 857,541
- Thread starter
- #50,341
[emoji2815][emoji2815][emoji2815][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]rip in advanceKijana chunga tamaa mbayaView attachment 1808025
[emoji2815][emoji2815][emoji2815][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]rip in advanceKijana chunga tamaa mbayaView attachment 1808025
HahahahaWadada mliojitolea kuweka ndani kuna salamu zenu huku View attachment 1808022
Mshana hata mie nimecheka mno!Sijui aliyetengeneza huo mpini aliwaza nini?Mungu wangu nimejikuta nacheka kisenge[emoji23][emoji23][emoji23]
Ole wako usitimize ahadi [emoji16]Nitajipost saa 6 kamili kwa majira ya saa za mashariki ya mbali ...kaa tayari [emoji6]
Mkuu mia mia zetu tunazo pata bila kuumiza watu zinatosha sanaDuh! Huyu dogo mbona mnamzingua kihivi, ina maana hayati alikua anamlinda au nini kinamsibu....mpaka sasa anahangaika kuficha sura na uso, hii dunia bana tuiache kama ilivyo, hamna wa kuikomesha, wote akina Hitler, Idi Amin n.k. walishapewa ukweli wao.
Saka hela zako kihalali kisha geuza zako nyumbani kwa mkeo, achana na dunia hautaiweza.
Hahaaa mkuuu na wagogo nao basi muwe mnawaweka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wasukuma mmezidi sasaView attachment 1808021
Wanatuonea sana mkuu hawa watu ....wakati na wagogo nao ni washamba hatari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utukome [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 1808059
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uwiiiUtukome [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 1808059
Anakulengesha ubokolewe[emoji15][emoji16][emoji1787]View attachment 1807725