Asubuhi asubuhi yote hii kutishana tu [emoji51][emoji51][emoji51]
Kwenye kifo ni gentlemen first kamanda [emoji16][emoji16][emoji16]
Acha maswali na wewe [emoji38][emoji38][emoji38]Unafurahishwa na kipi bro?
Unaweza ukakuta ana mashine tamu balaa mpaka ukadata [emoji16]
Huwa inatokea....baharia asife moyo!