DellaPina
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 1,026
- 3,519
Alishapewa kadi ya njano kama onyo,si unajua tena ukicheza rafu refa anakuonya mara moja mara ya pili kadi ya njano ya tatu kadi nyekundu[emoji16][emoji16] mzee wa chura
Very sorry Emiir wa chura!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah! Kitambo sana!Wazee wenzangu tupoView attachment 1806066
Mhh. Ndugai utumbo!
Shwaaaaaaaaa
.....huyo ndege jike Atakuwa mzaramo....
Duh umenipata
Unafurahishwa na kipi bro?Nikiona umepost nafurahia mno