Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hapa wazazi walipigwa!!
Screenshot_20210528-000452.jpg
 
Huyu spika wenu kwa hizi kauli zake siku hizi kuna uwezekano akatia nia ya urais 2025, ameanza kufanya majaribio kwa mbali.
Kwa Tanzania lo lote lawezekana mkuu. Huko kwenu baada ya Muigai hapo mwaka kesho unafikiri ni nani atachukua? Rutto? Odinga? Ila siasa zenu ngumu kidogo kwa sababu zinaingiza na mambo ya ukabila kidogo.
 
Back
Top Bottom