Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Hapo hata dushe linasinyaa kama la mtoto! ππ¬π¬π¬
Kula size yako, ni hapo ukiangushe sasa! π€£ π€£ π€£ Huyo aliyekaribu yako kama ni mkubwa wako basi utajamba tu, sio kwa konde utalowekelewa! π€£Hapa ndipo filibeti bai alipoasisiwa..........View attachment 1793558
Lakuchumpa Lakumkrokodile Afrikaneus (scientific name) ππππ€£πKrokodaili shuzi.........View attachment 1793557
Life ain't fair! π€£ π€£ π€£[emoji16][emoji16]View attachment 1801618
Evaporation of boychild! π€£ π€£ π€£
Macho yangu ama, si minofu hiyo? π
Washakuwa wa kubetiwa sio? π π π[emoji1][emoji1][emoji28]View attachment 1801611
Macho yangu ama, si minofu hiyo? [emoji23]
Huyo lazma atakuwa kifunga mimba! Anakunywa soda kimasihara! π€£
Duh! Totoz wa kwetu akivalia hivyo ataambiwa karushiwa ndumba la Nigeria tayari! π€£ π€£ π€£Kabuni mfano wa nyama kwa kweli ila siyo nyama halisi ni ubunifu tu wa mavazi wa lady gaga
[emoji16][emoji16]haya mambo yalifanya darasa la arts lifurikeFractional Distillation[emoji109][emoji109]
ππ π€£
Huwa wanajiona wao kila kitu chao[emoji16]Huyo lazma atakuwa kifunga mimba! Anakunywa soda kimasihara! [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukikumbuka submission, itakubidi tu! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo jamaa ana tatizo kubwa kuliko anavyodhani ndiyo maana mwezi mmoja kwake ameona kama miaka 10.Hii kitu ukitaka uache usijitangazie ushindi, siku ikipita shukuru Mungu kimya kimya[emoji16][emoji16]