Hahahaha jamaa ameshaanza kuwa kizee furani[emoji23][emoji23]Siku zaenda kasi sana...mtu na mjukuu wake.
View attachment 1800286
Pamoja na umri lakini hataki kuacha bange.Siku zaenda kasi sana...mtu na mjukuu wake.
View attachment 1800286
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanga hoyeee
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa Tanzania kila kitu kinawezekana. Si wangemjengea angalau kajumba ka kishikaji kwa ajili ya uzinduzi huu? Roho kama za wanyama!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
Hao pisi kali wa kutoa 'Yuusuuuffff' ndio hazardous! 🤣 🤣 🤣 Huo ni mjambo wa mix ya mayai na ndondo! Bora hilo la 'pata pata pata!' halinaga harufu kali. 😂 😂 😂 😂