Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Maisha ya shule yalikuwa magum sana hasa kwenye chakula[emoji1]
Alafu iwe ni siku ya wali-maharagwe, hehehe, hapo kikiisha mnagojea 1 hr, ndio mpikiwe Ugali-mlenda... Walikuwa wahuni wapishi!!! 🤣 🤣 🤣 🤣(first come first serve Lakini majamaa Ni survival for the fittest)
 
Alafu iwe ni siku ya wali-maharagwe, hehehe, hapo kikiisha mnagojea 1 hr, ndio mpikiwe Ugali-mlenda... Walikuwa wahuni wapishi!!! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787](first come first serve Lakini majamaa Ni survival for the fittest)
Siku ya wali ndio huwa watu wanakosa chakula hata wapike masufuria mangapi[emoji28][emoji28]
 
IMG_7681.jpg
 
Back
Top Bottom